Ujenzi wa Reli ya kisasa, waendelea kwa kishindo - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ujenzi wa Reli ya kisasa, waendelea kwa kishindo

Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania(TRC), Masanja Kadogosa, amesema kwa sasa shirika hilo limefanya ufanisi katika uboreshaji wa shughuli za usafirishaji pamoja na utoaji huduma kwa watuamiaji wa Reli nchini,  hii ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono sera ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli, ya kuwataka watendaji wake wachape kazi


Source: Kwanza TVRead More