Ujumbe Mkuu Wa Kazi Zote Ninazofanya Upo Nyuma Ya Neno Hili Moja, Lijue Na Itakusaidia Sana Kufanikiwa. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ujumbe Mkuu Wa Kazi Zote Ninazofanya Upo Nyuma Ya Neno Hili Moja, Lijue Na Itakusaidia Sana Kufanikiwa.

Rafiki yangu mpendwa, Miaka kadhaa iliyopita nilijipa jukumu moja kubwa sana la maisha yangu. Jukumu hilo limekuwa kwamba kila ninayekutana naye iwe ana kwa ana au kupitia kazi zangu basi asibaki kama alivyokuwa. Yaani kukutana kwangu na mtu kuache alama chanya, ambayo miaka mingi ijayo akiangalia nyuma, anajiambia nilikuwa pale, nikakutana na huyu na sasa... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More