Ujumbe Mzito wa Diamond Kwa Dee, Amwita “maskini mwenzake’. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ujumbe Mzito wa Diamond Kwa Dee, Amwita “maskini mwenzake’.

Ikiwa jana ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya mtoto wa hamisa mobeto pamoja na diamond platinumz, mtoto huyo ametimiza mwaka mmojatangu kuzaliwa kwake, nahiyo ni moja ya siku ambazo wau wengi walikuwa wakisubiria kwa sababu watoto  wa msanii huyo wamefuatana katika siku za kuzaliwa ikiwa ni tiffah na dully.


katika siku hiyo Diamond Platinumz aliandika ujumbe mzito kwa mtoto wake huyo huku akimwita Mtoto wake huyo wa kiume kuwa ndio masikini mwenzake na ndio kitinda mimba wake.


katika ukurasa wake wa instagram aliandika “Avery happy birthday to the next platinumz,my kitinda mimba, mswahili mwenzangu, masikini mwenzangu, mnyonge mwenzangu..mengi uliyoyapitia ukiwa mdogo na usiyoyajua hili wala lile yamenifanya nikupende sana na kuhakisha kuwa nitakutunza na kukulinda kwa hali yoyote ile …inshalah mwenyezi mungu akutunze na akupe akili, afya, furaha na akubariki , ukikuwa uwe msanii kama mimi baba yako.uzidi kupendwa na ukifanikiwa uwainue na maskini wenzetu mitaani…happybirthday... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More