UJUMBE WA CRDB WAFANYA ZIARA TUME YA MADINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UJUMBE WA CRDB WAFANYA ZIARA TUME YA MADINI

Jana tarehe 14 Agosti, 2018 ujumbe kutoka CRDB ukiongozwa na Mkurugenzi wake Dk. Charles Kimei ulifanya ziara katika Ofisi za Tume ya Madini zilizopo jijini Dodoma lengo likiwa ni kufahamu majukumu na shughuli za Tume.Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia) akibadilishana mawazo na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya (kushoto) kwenye Ofisi za Tume ya Madini zilizopo jijini Dodoma. Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei (kulia) akifafanua jambo kwenye kikao kilichoshirikisha ujumbe wake na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya akifafanua jambo... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More