UJUMBE WA LEO: HATARI KUBWA SANA KIZAZI CHA WANAUME KUPOTEA WAKABAKI WAVULANA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UJUMBE WA LEO: HATARI KUBWA SANA KIZAZI CHA WANAUME KUPOTEA WAKABAKI WAVULANA

Wamama / Wadada tuombeeni sana wakaka ....Hasa wale mnaodhani wanawahusu... yaani kaka yako / ndugu au hata yule jamaa unaempenda penda unawaza atakuja kua mumeo... KUNA HATARI KUBWA SANA KIZAZI CHA WANAUME KUPOTEA WAKABAKI WAVULANA... 

Hatari sana kuona wanawake wanajituma (masomoni/ biasharani / kwenye mambo ya Mungu ) Halafu wanaume wamekaa wanatafuta majina (fame). 

Ni huzuni kuona mwanaume hawezi kuweka akiba hata ya 1000 buku tu kwa siku ... ila anapiga pamba za hatari, Huzuni sana kuona wanaume wanashindwa kufanya maamuzi... kusema NDIO au HAPANA! 

Huzuni sana kuona mwanaume anashindwa kujijengea misimamo na kuweka vipaumbele vyake na kuvisimamia, NI HATARI SANA KUONA MWANAUME ANASIFIA SIFIA WATU ILI APATE NAFASI FULANI.
Najua kuna watu mnasoma huu ujumbe na unaona kila kinachotajwa hapa ndio sifa za mchumba wako ... Na kimsingi hata wewe unaona kinachokuweka kwenye hayo mahusiano ni vile unampenda tu na namna ambavyo unahamu ya kuolewa....Ila mpaka kuna wakati unajiuliza mmmh ... Sa... Continue reading ->Source: KajunasonRead More