UJUMBE WA SHIRIKA LA NGUVU ZA ATOMIKI DUNIANI KANDA YA AFRIKA WAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA AFYA ZANZIBAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UJUMBE WA SHIRIKA LA NGUVU ZA ATOMIKI DUNIANI KANDA YA AFRIKA WAKUTANA NA VIONGOZI WA WIZARA YA AFYA ZANZIBARMkurugenzi wa Kanda ya Afrika, Shirika la nguvu za Atomiki Duniani (IAEA) Prof. Shaukat Abdulrazak akizungumza na uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar ulioongozwa na Katibu Mkuu Wizara hiyo Asha Ali Abdalla (kushotoni kwake).

Mkurugenzi Mkuu, Tume ya Nguvu Atomu Tanzania (TAEC) Prof. Lazaro Busagala akisisitiza jambo katika mkutano uliowashirikisha viongozi wa Wizara ya Afya na Ujumbe wa Shirika hilo uliofanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja.

Baadhi ya wakuu wa vitengo mbali mbali vya Wizara ya Afya wakimikiliza Mkurugenzi wa Shirika la nguvu za Atomiki Duniani (hayupo pichani) Profesa Shaukat Abdulrazak.Picha na Makame Mshenga.Na Ramadhani Ali – Maelezo Zanzibar


Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki Duniani (IAEA) Kanda ya Afrika Profesa Shaukat Abdulrazak amesema Shirika hilo litaongeza ushirikiano na Zanzibar ili kuona linatoa mchango mkubwa zaidi katika kukuza maendeleo ya sekta mbali mbali.

Profesa Shaukat alieleza hayo alipofanya mazungumzo na uongozi... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More