UJUMBE WA SIERRA LEONE WATEMBELEA WIZARA YA FEDHA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UJUMBE WA SIERRA LEONE WATEMBELEA WIZARA YA FEDHA

 Naibu Waziri wa Elimu ya Juu na Ufundi toka nchini Sierra Leone Dk. Turad Senesie (kulia) akiuliza swali kwa Kamishna Msaidizi wa Sera toka Wizara ya Fedha, Sauda Msemo (hayupo pichani) wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea Ofisi za hazina na ujumbe wake ili kujifunza namna Wizara ya Fedha inavyoweza kutoa fedha kwa ajili ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu. Kushoto ni Wajumbe aliombatana nao toka nchini Sierra Leone. Kamishna Msaidizi wa Sera toka Wizara ya Fedha, Sauda Msemo (kulia) akifafanua jambo kwa ujumbe toka nchini Sierra Leone (hawapo pichani) uliokuja nchini kwa lengo la kujifunza namna ya uendeshaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu. Katikati ni Afisa Mawasiliano wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, Omega Ngole na kushoto ni Msaidizi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi hiyo Godfrey Chawe. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha toka nchini Sierra Leone, Mathew Dingie (katikati) akiuliza swali kwa Kamishna Msaidizi wa Sera toka Wizara ya Fedha, Sauda Msemo (hayupo pichani) wakati w... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More