UKARABATI KIVUKO CHA MV. CHATO WAKAMILIKA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UKARABATI KIVUKO CHA MV. CHATO WAKAMILIKA

 Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle kulia akijadiliana jambo na Meneja wa kampuni ya Kizalendo ya Songoro Marine Boatyard ya jijini Mwanza Major Songoro mara baada ya kukagua kivuko cha MV. Chato ambacho ukarabati wake umemalizika, kivuko hicho chenye uwezo wa kubeba tani 75 sawa na abiria 200,na magari 6 kinatoa huduma Wilaya ya Chato, maeneo ya Ikumba Itale, Izumacheli, Muharamba, Senga, Bukondo na Bwina Mkoani Geita .

 Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Y. Maselle wa pili kulia akisisitiza jambo kwa Meneja wa kampuni ya Kizalendo ya Songoro Marine Boatyard Major Songoro wa pili kushoto mara baada ya kukagua kivuko cha MV. Chato ambacho ukarabati wake umemalizika, tukio lililofanyika katika yadi ya Songoro iliyopo Ilemela mjini Mwanza. Kivuko hicho cha tani 75 kina uwezo wa kubeba abiria 200 na magari 6 na kinatoa huduma katika Wilaya ya Chato, maeneo ya Ikumba Itale, Izumacheli, Muharamba, Seng... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More