Ukaribu wa Diamond na Nandy wazua ngumzo, Nandy avaa cheni ya WCB, Diamond aandika haya (+Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ukaribu wa Diamond na Nandy wazua ngumzo, Nandy avaa cheni ya WCB, Diamond aandika haya (+Video)

Katika Tamasha la OneafricanmusicFestival2018 ambalo lilifanyika jana Dubai walifanikiwa kupafomu wasanii hao kutoka Tanzania ambao ni Diamond Platnumz, Nandy pamoja na Vanessa Mdee na kufanikiwa kufanya vizuri sana kwenye tamasha hilo.Mbali na wasanii hao wawili kufanya vizuri lakini pia alionekana msanii mwingine kutoka Tanzania Nandy akiwa karibu na Diamond na hadi kufikia hatua ya Nandy kufaa cheni za Diamond kitu abacho kimeacha maswali mengi sana kwa mashabiki wa Diamond na Mashabiki wa Nandy wakianza kuulizana kulikoni ?


huku Diamnd akiandika kwenye baadhi ya video hizo ” Mama enu”

 


By Ally Juma.


The post Ukaribu wa Diamond na Nandy wazua ngumzo, Nandy avaa cheni ya WCB, Diamond aandika haya (+Video) appeared first on Bongo5.com.

... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More