Ukay Mall: Bomoa bomoa yakumba jumba lenye duka la Nakumatt Kenya - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ukay Mall: Bomoa bomoa yakumba jumba lenye duka la Nakumatt Kenya

Shughuli ya ubomoaji wa majengo ambayo imekuwa ikiendelea Kenya kuondoa majumba yaliyojengwa katika maeneo yaliyotengewa barabara na yaliyo kwenye kingo za mito na chemchemi Ijumaa iliathiri jumba lenye moja ya maduka makuu ya Nakumatt, Ukay Mall.


Source: BBC SwahiliRead More