Ukikutwa na jezi feki Yanga umekwisha - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ukikutwa na jezi feki Yanga umekwisha

Jezi zinazoonekana mitaani kwa sasa ni halisi ambazo za mashabiki ni Sh 30,000 na zile zinazotumiwa na wachezaji ni Sh 35,000 na kampuni iliyopewa tenda ya kusambaza ni GSM, lakini kama watashtukia jezi feki kokote walipo watoe taarifa ili sheria ichukue mkondo wake.


Source: MwanaspotiRead More