Ukistaajabu ya Lipumba utayaoona ya Mtatiro - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ukistaajabu ya Lipumba utayaoona ya Mtatiro

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF), Julius Mtatiro amekula matapishi yake baada ya kutangaza kuunga mkono juhudi za Rais John Magufuli. Anaandika Faki Sosi … (endelea). Matatiro leo Agosti 11, 2018 ametangaza uamuzi wa kujivua uanachama wa CUF na kuonesha nia ya kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM) ili kupata fursa ...


Source: MwanahalisiRead More