Ukiwa na Pesa Unaonekana una Umri Mkubwa;- Wolper - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ukiwa na Pesa Unaonekana una Umri Mkubwa;- Wolper

Mwanadada Jackline Wolper amefunguka na kujibu tuhumza kuwa mashabiki wengi wmekuwa wakimsema kuwa umri wake unakwenda lakini hataki kuolewa wala hataki kupata mtoto kama baadhi ya wasanii wengine.


Wolper anajibu tetesi hizo na kusema kuwa watu wamekuwa wakijudge sana umri wa watu kwa kuangalia miili yao lakini pia huwa ni kawaida kwa watu kuwasema sana watu wenye psa kuwa na umri mkubwa.


Wolper anasema kuwa kwake yeye kuwa na mtoto au kuolewa ni swala la kujipanga na anaona kuwa bado ana muda mrefu sana kujipanga kama miaka mitano ndipo anaweza kuolewa au kuzaa.


hawajui umri wangu, unajua ukiwa staa alafu una pesa kama mimi lazima watu wakuone kuwa umri unaenda, but for real nina uwezo wa kukaa hata miaka mitano ndo nikazaa kwa sababu umri wangu unaruhusu.


 


 


The post Ukiwa na Pesa Unaonekana una Umri Mkubwa;- Wolper appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More