ULAJI USIOFAA UNAONGEZA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA-MAJALIWA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

ULAJI USIOFAA UNAONGEZA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA-MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na washiriki wa mkutano wa tano wa kutathmini utekelezaji wa afua za lishe nchini, katika ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Septemba 11, 2018. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza na washiriki wa mkutano wa tano wa kutathmini utekelezaji waafua za lishe nchini, katika ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Septemba 11, 2018.Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Phaustine Ndugulile kushoto na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega kulia, wakifuatilia mkutano wa tano wa kutathmini utekelezaji wa afua za lishe nchini, uliyofunguliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Septemba 11, 2018. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,  Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kabla ya kufungua mkutano wa tano  wa kutathmini utekelezaji wa afua za lishe nchini, kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Septemba 11... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More