Ulinzi wa Zari ni Habari Nyingine - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ulinzi wa Zari ni Habari Nyingine

Mwanadada Zari the Bossy  hivi karibuni alisaini dili nono la kuwa balozi wa utalii nchini Uganda kitu ambacho ni kikubwa na chenye heshima sana kwa mtu maarufu kama yeye , lakini sasa habari nyingine inakuja baada ya mwanadada huyo kuonekana akiwa karibu na walinzi wasiokuwa wa nchi hii.Zari amekuwa akilindwa sana tangu alipopata dili la kuwa balozi wa nchi hiyokwa heshimaya kuwa balozi na kile anachokifanya kuitangaza nchi yake uUganda.


Ukiachana na ukubwa wa timu ambayo inamuongoza mwanadada huyo katika shughuli zake za kuitangaza nchi yake katika sekta ya utalii, lakini pia amekuwa akitembea magari makubwa makubwa na ya kifahari ambayo amekuwa akiambatana nayo kila kona.


Mwanamama huyo anatajwa kuwa moja ya wanawake wenye mafanikio na ushawishi ,kubwa sana katika mitandao ya kiajmii hivyo kwa heshimakubwa amepewa heshimaya kutangaza utalii nchini kwake.


 


The post Ulinzi wa Zari ni Habari Nyingine appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More