Umaarufu wa Rais Magufuli waiponza Twaweza - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Umaarufu wa Rais Magufuli waiponza Twaweza

Serikali ya Tanzania imeitaka taasisi ya utafiti isiyo ya kiserikali ya Twaweza kueleza ni kwa nini ilifanya utafiti kuhusu maoni ya wananchi ‘bila kibali’. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).  Tume ya Sayansi na Teknolojia (Comstech) imeiandikia taasisi barua na kuitaka ieleze ni kwa nini haifai kuchukuliwa hatua za kisheria. Barua hiyo inasema Twaweza waliwasilisha maombi ...


Source: MwanahalisiRead More