Ummy: Marufuku kuajiri watoa huduma ngazi ya jamii nje ya eneo husika - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ummy: Marufuku kuajiri watoa huduma ngazi ya jamii nje ya eneo husika

SerikaliI kupitia Wizara ya Afya, imepiga marufuku kuajiri watoa huduma wa afya ngazi za jamii kutoka nje ya Halmashauri husika. Katazo hilo limetolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto  Mhe. Ummy Mwalimu wakati wa uzinduzi wa mradi wa TUWATUMIE, uliofanyika mkoani Simiyu wilaya ya Itilima. “Nataka kuwaambia viongozi wa Mkoa


Source: Kwanza TVRead More