Ummy Mwalimu mgeni rasmi, kampeni ya linda ardhi ya mwanamke - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ummy Mwalimu mgeni rasmi, kampeni ya linda ardhi ya mwanamke

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Kampeni ya Linda ardhi ya Mwanamke, itakayofanyika tarehe 21 Novemba, mwaka huu, inayotetea Haki za Ardhi za Mwanamke nchini. Anaripoti Christina Haule, Morogoro … (endelea). Hayo yalisemwa jana na Mchambuzi wa masuala ya Ardhi kutoka Shirika ...


Source: MwanahalisiRead More