Ummy: Ukeketaji bado ni tatizo - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ummy: Ukeketaji bado ni tatizo

Mbali na jitihada mbalimbali za kukabiliana na tatizo la ukeketaji bado Tanzania inatajwa kuwa na safari ndefu katika kukabiliana na visa hivyo. Katika mdahalo wa kuelekea siku ya mtoto wa kike duniani, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amesema jambo hili linasikitisha, hivyo kama taifa linapaswa kulitilia maanani na


Source: Kwanza TVRead More