Umoja wa Ulaya washushiwa hadhi ya kidiplomasia Marekani - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Umoja wa Ulaya washushiwa hadhi ya kidiplomasia MarekaniUtawala wa rais Donald Trump umeishusha hadhi ya kidiplomasia ya ujumbe wa Umoja wa Ulaya nchini Marekani. Afisa wa Umoja wa Ulaya amethibitisha taarifa hizo kwa shirika la utangazaji la Ujerumani, DW.
Hatua hiyo ya wizara ya mambo ya ndani ya Marekani ambayo haikutangazwa, na ambayo haijawahi kuripotiwa, iliishusha hadhi ya kidiplomasia ya ujumbe wa Umoja wa Ulaya mjini Washington kutoka nchi mwanachama hadi shirika la kimataifa. "Hatufahamu hasa lini walipochukua hatua hiyo, kwa sababu walisahau kutuarifu," afisa mmoja anayeifahamu vizuri kadhia hiyo ameiambia DW katika mahojiano maalumu. Ninaweza kuthibitisha uamuzi huu haujapokelewa vyema mjini Brussels," akasema afisa huyo na kuongeza kwamba suala hilo na jibu rasmi la Umoja wa Ulaya bado vinajadiliwa.
Baada ya ujumbe wa Umoja wa Ulaya kutambua kwamba balozi wake mjini Washington hakualikwa kuhudhuria matukio muhimu mwishoni mwa mwaka uliopita, maafisa walioandaa mazishi ya rais wa zamani wa Marekani, George H.W Bush, walitoa thibiti... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More