UMOJA WA WANAWAKE WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (UWAMITA) WAZINDULIWA JIJINI DAR E SALAAM - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UMOJA WA WANAWAKE WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (UWAMITA) WAZINDULIWA JIJINI DAR E SALAAM

Kamishna Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo (mwenye suti) ambaye alikuwa mgeni maalum akiungana na wanachama wa Umoja wa Wanawake wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (UWAMITA) kuonyesha katiba ya umoja wao mara baada ya kufanya uzinduzi  wa umoja huo uliofanyika jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia pembeni ni wanachama wakiongozwa na Mwenyekiti wao Bi. Frida Kundy (wa pili toka kushoto). Picha na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.Kamishna Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo (wa kwanza kulia) ambaye alikuwa mgeni maalum akisoma katiba kabla ya kukata utepe ikiwa ishara ya kuzindua Umoja wa Wanawake wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (UWAMITA) katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia pembeni ni wanachama wakiongozwa na Mwenyekiti wao Bi. Frida Kundy (wa pili toka kwa mgeni maalum).Kamishna Mhifadhi Misitu Prof. Dos Santos Silayo (wa kwanza kulia) ambaye alikuwa mgeni maalum akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua Umoja wa Wanawake wa Wakala wa Huduma ... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More