UNAIDS yaangalia namna ya kusaidia kituo cha Matumaini - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UNAIDS yaangalia namna ya kusaidia kituo cha Matumaini

Mkurugenzi wa Kijiji cha Matumaini, SR Maria Rosaria akitoa maelezo kwa Mkurugenzi Mkazi na Mwakilishi wa Shirika la Kupambana na UKIMWI la Umoja wa Mataifa (UNAIDS) nchini, Dk. Leo Zekeng ya dawa mbalimbali wanazotumia kwa ajili ya watoto hao wanaolelewa kwenye kijiji cha Matumaini mjini Dodoma kinachoendeshwa na masista wa Kanisa Katoliki, Shirika la Masista Waabuduo Damu ya Yesu alipotembelea kituoni hapo wakati wa kilele cha maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika kitaifa mkoani humo.Mkurugenzi Mkazi na Mwakilishi wa Shirika la Kupambana na UKIMWI la Umoja wa Mataifa (UNAIDS) nchini, Dk. Leo Zekeng akimkabidhi zawadi za ‘Pampers’ Mkurugenzi wa Kijiji cha Matumaini, SR Maria Rosaria alipotembelea kituo hicho kinachowalea watoto yatima wakati wa kilele cha maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika kitaifa mjini Dodoma.Mkurugenzi Mkazi na Mwakilishi wa Shirika la Kupambana na UKIMWI la Umoja wa Mataifa (UNAIDS) nchini, Dk. Leo Zekeng akimsalimia mmoja wa wato... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More