UNAMKUMBUKA AHMED KIPANDE? - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UNAMKUMBUKA AHMED KIPANDE?

Mwanamuziki Ahmed Kipande, alishiriki kikamilifu katika uhamasishaji wa maendeleo na kupigani Uhuru wa Tanganyika akiwa na bendi yake ya Kilwa Jazz.
Bendi hiyo ilishiriki kikamilifu siku Tanganyika inapata Uhuru Decemba 09, 1961 kwa kimba wimbo wa kusifia nchi yetu kupata Uhuru toka wa Wakoloni wa Waingereza.
Aidha chini ya uongozi wake Ahmedi Kipande, bendi yao ilishiriki kikamilifu kutoa burudani wakati mikakati ya kufanya Mapinduzi ya Zanzibar kwenye meneo ya Makao Makuu ya bendi hiyo jijini Dar es Salaam mwaka 1964.
Juhudi zao katika muziki zilipelekea kuteuliwa na serikali ya Tanganyika kwenda kushiriki sherehe za Uhuru wa nchi za Malawi na Uganda.
Wasifu wa Ahmed Kipande iliyoelezewa na mwanawe wa mwisho Kipande Ahmed, alesema kwamba jina kamili la  baba yake alikuwa ikiitwa Ahmed Mohammed Kipande.Mrisho alitamka kuwa baba yake alizaliwa mwaka 1937, huko Kilwa Kivinje mkoani Lindi.
Miaka michache baada ya kifo cha mama yake Ahmed Kipande alifuatana na baba yake kuja Dar es Salaam. Ba... Continue reading ->

Source: Issa MichuziRead More