Unampigaje virungu mtu mwenye tiketi mkononi? - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Unampigaje virungu mtu mwenye tiketi mkononi?

NILIKUWA Genk pale Ubelgiji kwa staa wetu Mbwana Samatta. Walikuwa wanacheza na Timu ya Antwerp. Moja kati ya mechi ambazo zilikuwa zinaamua ubingwa Genk msimu huu. nikacheka kimoyomoyo ustaarabu wa wazungu.


Source: MwanaspotiRead More