Unatumia iPhone 5? Chukua hatua hii, au huduma ya intaneti itasumbua - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Unatumia iPhone 5? Chukua hatua hii, au huduma ya intaneti itasumbua

Kama bado unatumia simu ya iPhone 5 itakubidi uchukue hatua ya kusasisha(update) OS – programu endeshaji ili kuepuka matatizo. Kuna maboresho ya teknolojia ya GPS – teknolojia inayotambua eneo/mahali kilipo cha elektroniki kwenye mfumo wa ramani ya dunia. Teknolojia ya GPS inatumika pia kuhakikisha simu yako inatoa taarifa sahihi hasa hasa kwenye suala la muda [...]


The post Unatumia iPhone 5? Chukua hatua hii, au huduma ya intaneti itasumbua appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More