UNAWEZA KUWA NA CHAKULA KINGI LAKINI UKAWA NA NJAA- DKT TIZEBA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UNAWEZA KUWA NA CHAKULA KINGI LAKINI UKAWA NA NJAA- DKT TIZEBA

Waziri wa kilimo Mhandisi Dkt Charles Tizeba akisisitiza jambo leo tarehe 11 Octoba 2018 wakati akizungumza kwenye kongamano maalumu la muelekeo wa siku ya chakula Duniani katika ukumbi wa mihadhara (MLT 9) katika Chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo-SUA Mkoani Morogoro. (Picha Zote Na Mathias Canal, WK)Waziri wa kilimo Mhandisi Dkt Charles Tizeba akisisitiza jambo wakati akizungumza kwenye kongamano maalumu la muelekeo wa siku ya chakula Duniani katika ukumbi wa mihadhara (MLT 9) katika Chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo-SUA, Mkoani Morogoro. Leo tarehe 11 Octoba 2018Waziri wa kilimo Mhandisi Dkt Charles Tizeba (Kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi shahada za awali Chuo kikuu cha Sokoine Bi Suzan Agustino wakati alipowasili kushiriki kongamano maalumu la muelekeo wa siku ya chakula Duniani katika ukumbi wa mihadhara (MLT 9) katika Chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo-SUA Mkoani Morogoro. Leo tarehe 11 Octoba 2018Waziri wa kilimo Mhandisi Dkt Charles Tizeba (Kushoto) akikagua Shamba la mafunzo... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More