United wanajiandaa kumfukuza Mourinho? - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

United wanajiandaa kumfukuza Mourinho?

Hizi ni tetesi lakini zinaonekana zina ukubwa sana, Jose Mourinho ni moja ya makocha ambao wanapewa nafasi kubwa sana kutimuliwa msimu huu wa ligi kama hatafanya vizuri.


Na sio utani United hawataki kuburuzwa tena hawako tayari kuona timu kama Manchester City au Chelsea wanachukua tu kombe mbele yao kila kukicha huku wao United wanabaki kama wasindikizaji.Lakini kitendo cha Manchester United kumtimua Jose Mourinho(kama wakifanya hivyo) baasi itawagharimu kiasi kikubwa sana cha fedha.


Manchester United watahitajika kulipa kiaso cha £12m kwa kocha huyo wa Kireno ambapo kiasi hicho ni sawa na mshahara wake wa mwaka mzima na haijalishi atatimuliwa mda gani bali pesa hiyo anapswa kupewa.


Jose Mourinho alisaini mkataba mpya na United utakaomuweka hadi mwaka 2020 lakini klabu hiyo ili kuogopa hasara waliamua kuweka kipengele katika mkataba wake ambacho hawatampa pesa yote ya mkataba wake kama utaishia katikati.Tangu ajiunge na Manchester United Jose Mourinho ameshacheza mechi 120 huku ka... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More