United yaanza vema ligi, yailaza Leicester Old Trafford  - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

United yaanza vema ligi, yailaza Leicester Old Trafford 

Klabu ya Manchester United hapo jana imefanikiwa kuanza vema ligi kuu soka nchini Uingereza mara baada ya kuchomoza na ushindi wa jumla ya mabao 2 – 1 dhidi ya Leicester City.Katika mchezo huo uliyopigwa kwenye dimba la Old Trafford imeshuhudia Paul Pogba akiiyandikia bao la Kwanza kwanjia ya mkwaju wa penati dakika za mapema kipindi chakwanza huku Luke Shaw akihitimisha karamu ya magoli.


Leicester ilirudi kwanguvu kwenye kipindi cha pili na kupata bahati ya kupata bao dakika za nyongeza kabla mpira kumalizika kupitia kwa Jamie Vardy.


Vikosi vya timu zote mbili Man Utd: De Gea (8), Darmian (6), Bailly (6), Lindelof (6), Shaw (8), Fred (7), A Pereira (7), Pogba (8), Mata (6), Rashford (6), Sanchez (6).


Wachezaji waakiba : Lukaku (5), McTominay (5), Fellaini (5).


Leicester: Schmeichel (6), Amartey (4), Morgan (5), Maguire (6), Chilwell (5), Ndidi (5), Silva (6), R Pereira (6), Maddison (7), Gray (6), Iheanacho (6).


Wachezaji waakiba : Vardy (6), Ghezzal (5), Iborra (5).


Mchezaj... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More