United yapambana na rekodi ya Van Dijik - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

United yapambana na rekodi ya Van Dijik

DAKIKA za majeruhi katika dirisha la uhamisho pale England. zimebakia saa 72 tu kabla ya dirisha hilo kufungwa na Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho anapambana na rekodi ya uhamisho kwa mabeki, iliyowekwa na mlinzi wa Liverpool, Virgil Van Dijik Januari.


Source: MwanaspotiRead More