Uongozi wa Airport Wajibu Tuhuma za Ray Kuibiwa Mizigo - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Uongozi wa Airport Wajibu Tuhuma za Ray Kuibiwa Mizigo

Uongozi wa uwanja wa ndege  wa mwl julius kambarage nyerere wamejibu tuhuma za kuibiwa kwa msanii ray kigosi baada ya msanii huyu kulalamika sana kuwa aliibiwa mizigo yake baadhi akiwa uwanja wa ndege.


Uongozi wa uwanja wa ndege unasema kuwa mtu yoyote anapopata tatizo lolote ni vizuri zaidi kama watatoa taarifa moja kwa moja kwa uongozi na sio kuandika katika mitandao ya kijamii kama ambavyo wamekuwa wakifanya baadhi ya watu.


katika ukurasa wa insta wa msanii Ray kigosi aliandika ”The post Uongozi wa Airport Wajibu Tuhuma za Ray Kuibiwa Mizigo appeared first on Ghafla! Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More