Upangaji matokeo ama rushwa FDL - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Upangaji matokeo ama rushwa FDL

USIKU wa Ijumaa ya Februari 8, zilisambaa picha zikimuonesha Katibu Mkuu wa Dodoma FC, Fortunatus Johnson, akifanya jaribio la kumhonga mchezaji wa Rhino Rangers ya Tabora. Februari 9, TFF ikatoa taarifa rasmi kwamba wamepata taarifa ya tukio hilo na wanalifanyia kazi.


Source: MwanaspotiRead More