Upelelezi wa Kihistoria: Ushahidi dhidi ya Trump sasa ni hadharani  - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Upelelezi wa Kihistoria: Ushahidi dhidi ya Trump sasa ni hadharani 

Mchakato wa uchunguzi unaofanywa na baraza la wawakilishi nchini Marekani dhidi ya rais wa nchi hiyo Donald Trump, kwa nia ya kumshitaki bungeni umeanza kusikilizwa hadharani.


US-Präsident Donald Trump (picture-alliance/abaca/Y. Gripas)Wabunge watawahoji wanadiplomasia wawili walioelezea wasiwasi wao kuwa Rais Donald Trump aliahidi msaada kwa Ukraine iwapo mtoto wa mpinzani wake wa kisiasa Joe Biden atachunguzwa. Biden anawania kuteuliwa na chama chake kuwa mgombea wa kiti cha urais katika uchaguzi wa mwaka 2020.


Chama cha Democratic pia kinaushutumu utawala wa chama cha Republican kuendesha njia mbili za kidiplomasia, yani moja rasmi na nyengine isio rasmi kupitia wakili binafsi wa Trump, Rudy Giuliani, kitu ambacho kiliuweka hatarini usalama wa taifa.


Watu wa kwanza kutoa ushahidi wao hadharani ni William Taylor mwanadiplomasia mkuu wa Marekani nchini Ukraine pamoja na afisa wa wizara ya mambo ya nje wa Marekani George Kent. Siku ya Ijumaa, Marie Yovanovitch, balozi wa zamani wa Ukraine anatarajiwa kutoa ushahidi wake. Yovanovitch aliondol... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More