Upendo Shuma aka Lavie Aja na BROWSTATIC - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Upendo Shuma aka Lavie Aja na BROWSTATIC

Upendo Shuma, Founder of Lavie Makeup Studio ambaye her beauty skillz imeasaidia sana kutoa ajira kwa vijana mbalimbali hapa Tanzania .


Alikua kwenye list of talented young women made Forbes Africa’s Class of 2017 30 under 30 entrepreneurs,anaipeperusha vyema bendera yetu ya Tanzania.


Amekuja na Browstatic hii itakua ni ya wanja wa kwenye nyusi ,amepost a little sneek peek ya product itakavyokua.... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More