Upinzani Sudan Kusini wapinga kurefushwa muda wa uongozi wa Kiir - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Upinzani Sudan Kusini wapinga kurefushwa muda wa uongozi wa Kiir

Saa chache baada ya Bunge la Sudan Kusini, kupiga kura na kuunga mkono kurefushwa muda wa Rais Salva Kiir wa nchi hiyo, kubakia madarakani hadi mwaka 2021, upinzani unaoongozwa na Riek Machar, umejitokeza na kukosoa vikali hatua hiyo. Mabior Garang de Mabior, msemaji wa kundi la waasi la SPLM- IO, ameitaja hatua hiyo ya Bunge,


Source: Kwanza TVRead More