UPOTEVU WA MIL 200 WAWANG’OA MAMENEJA MASOKO SITA MANISPAA YA UBUNGO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UPOTEVU WA MIL 200 WAWANG’OA MAMENEJA MASOKO SITA MANISPAA YA UBUNGO

Na Agness Francis ,Globu ya Jamii.
Halmashauri ya manispaa ya ubungo imewataka wakurugenzi kuwasimamisha kazi mameneja na wasimamizi wa masoko kwa ubadhilifu wa fedha za serikali.
tamko hilo limetolewa kwa ajili ya kupisha uchunguzi wa wizi wa fedha hizo.
Akizungumza na vyombo vya habari leo ofisini kwake Jijini Dar es Salaam Mstahiki meya wa halmashauri ya ubungo Boniphas Jacob amesema kuwa watumishi hao walikuwa wakikiuka sheria kwa kutopeleka fedha benki zinazokusanywa kupitia masoko hayo kama inavyotakiwa badala yake wanakaanazo wenyewe kwa lengo la kuziiba.
"Taarifa ya awali ilionyesha Kiasi cha Tsh 716 Millioni ndizo zilizokusanywa kwa Miezi 9, wakati taarifa sahihi baada ya ukaguzi wa Mfumo ni kiasi cha bilioni 1.009 ndizo zikizokusanywa kwa miezi 9,Hivyo kubainika kwa utofauti wa kiasi cha 273,131,441,00 ambazo zilikuwa azijulikani zilipo"amesema Meya Jacob.
Aidha amesema kuwa baada ya ukaguzi uliofanyika kuanzia tarehe 17 hadi 25 mwezi wa 4 mwaka huu waligundua kuwa kuna ubadhi... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More