Urais wa Mnangagwa wapingwa mahakamani - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Urais wa Mnangagwa wapingwa mahakamani

CHAMA kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe ‘Movement for Democratic’ (MDC) kimeenda mahakamani kwa lengo la kukata rufaa, ili kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). MDC imeenda mahakamani ikidai kwamba kulifanyika udanganyifu katika matokeo ya urais yaliyompa ushindi Rais Emmerson Mnangagwa. Kiongozi wa MDC, Nelson Chamisa amesema timu ya mawakili imefanikiwa ...


Source: MwanahalisiRead More