Urais Zanzibar si rahisi (3) - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Urais Zanzibar si rahisi (3)

ZANZIBAR katika maisha yake, imepigwa mapigo ya aina kwa aina. Imepigwa kwenye pande zote za kimaendeleo; pembe zote – Kaskazini, Kusini, Mashariki na Magharibi. Anaandika Jabir Idrisa … (endelea). Ni mapigo yaliyotoa vishindo vikubwa kiasi cha kuiteteresha kila inapotaka kupiga hatua za kuyafikia matumaini ya watu wake. Wazanzibari wanayo kumbukumbu mbaya na machungu hasa wanapofikiria ...


Source: MwanahalisiRead More