URENO YAIBWAGA ITALIA 1-0 LIGI YA MATAIFA YA ULAYA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

URENO YAIBWAGA ITALIA 1-0 LIGI YA MATAIFA YA ULAYA

Andre Silva akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee Ureno dakika ya 48 ikiilaza 1-0 Italia katika mchezo Kundi A Ligi ya Mataifa ya UEFA Uwanja wa Luz mjini Benfica usiku wa jana Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More