Usafiri wa meli kutoka Dar- Z’bar wasitishwa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Usafiri wa meli kutoka Dar- Z’bar wasitishwa

USAFIRI wa majini kati ya Dar es Salaam na Zanzibar umesitishwa siku ya leo hadi hapo utakapotangazwa tena. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kampuni ya Azam Marine na Kilimanjaro Fast Ferries kwa kupitia Mamlaka ya Usafiri Baharini (ZMA) pamoja na taarifa kutoka Mamlaka Ya Udhibiti wa Hali ya Hewa (Zanzibar) imetangaza kusitisha safari hizo kutokana ...


Source: MwanahalisiRead More