Usafiri wa Ndege waendelea kutia wasiwasi, Rubani aokoa maisha ya abiria 89 baada ya ndege kutua bila gurudumu la mbele baada ya hitilafu la kiufundi - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Usafiri wa Ndege waendelea kutia wasiwasi, Rubani aokoa maisha ya abiria 89 baada ya ndege kutua bila gurudumu la mbele baada ya hitilafu la kiufundi

Rubani mmoja raia wa Myanmar alilazimika kutua bila gurudumu la mbele baada ya ndege kupata hitilafu ya kiufundi wakati wa kutua.


Ndege y atua ghaflaHaki miliki ya pichaNAY MINImage captionNdege y atua ghafla

Kwa mujibu wa BBC, Ndege hiyo ya shirika la ndege la Myanmar iliteleza kwa muda katika barabara ya ndege kabla ya kusimama katika uwanja wa ndege wa Mandalay.


Rubani wa ndege hiyo aina ya Embraer 190 alisifiwa kwa kutua salama na abiria wote 89 bila hata mmoja wao kujeruhiwa.


Kapteni Myat Moe Aung alizunguka uwanja wa ndege mara mbili ili kuwaapa muda waelekezaji wa ndege kutabaini ikiwa kifaa hicho kingeliweza kufanya kazi, ilisema shirika hilo la ndege.


Ndege hiyo iliyokuwa safarini kutoka Yangon na ilikuwa imepangiwa kutua katika uwanja wa ndege wa Mandalay lakini rubani alipojaribu kutua alishindwa kufanya hivyo kutokana na sababu za kiufundi.


Ndege y atua ghaflaHaki miliki ya pichaNAY MINImage captionNdege y atua ghafla

Rubani alifuata taratibu zote za kiusalamaikiwa ni pamoja na kumwaga mafuta zaidi ili kupunguza ... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More