Usafiri wakwamisha kesi ya Rugemalira, Seth - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Usafiri wakwamisha kesi ya Rugemalira, Seth

TATIZO la usafiri limekwamisha kesi ya Harbinder Seth na mfanyabiashara James  Rugemalira iliyokuwa ikitajwa leo Alhamisi Novemba 22, 2018 lakini imeshindikana kutoka na washitakiwa hao kutokuwepo mahakamani. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi amesema kesi hiyo imeshindwa kutajwa kutokana na Rugemalira na Seth kushindwa kuwepo mahakamani kutokana na shida ya usafiri. ...


Source: MwanahalisiRead More