USAJILI NGOs NYANDA ZA JUU KUSINI WAENDELEA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

USAJILI NGOs NYANDA ZA JUU KUSINI WAENDELEA


Mwanasheria wa Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Faki Shaweji (kulia) na Afisa Maendeleo ya Jamii Victor Rugarabamu (kushoto) wakipitia Katiba ya mmoja wa mdau wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali aliyefika kuhuisha Usajili wa asasi yake katika zoezi la kusajili mashirika kwa mujibu wa Sheria ya NGOs Na. 3 ya mwaka 2019 katika Kanda ya Nyanda za Juu Kusini katika Ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya.Wataalam mbalimbali kutoka Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya kijamii, RITA, BRELA na wasajili wasaidizi kutoka Ofisi ya RAS Mbeya wakiendelea na zoezi la usajili wa wadau wa asasi mbalimbali walioitikia zoezi la kubadili usajili wa mashirika na taasisi zao katika siku ya pili ya usajili huo unaofanyika kwa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini katika Ukumbi wa Mkapa jijini Mbeya.Wanasheria wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara kuu ya Maendeleo ya jamii) wakipitia nyaraka za wadau wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali waliof... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More