Usajili wa Ronaldo Juventus, Wafanyakazi Fiat wagoma - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Usajili wa Ronaldo Juventus, Wafanyakazi Fiat wagoma

Wafanyakazi wa Kampuni ya utengenezaji magari ya Fiat Chrysler nchini Italia wamekerwa na kitendo cha mmiliki mwenye hisa nyingi ndani ya kampuni hiyo kuamua kutoa Eiro 112 milioni sawa na Pauni 99.2 milioni kumsajili Cristiano Ronaldo kwenda Juventus.


Source: MwanaspotiRead More