Ushirikiano kati ya HaloPesa na VISA wazinduliwa - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ushirikiano kati ya HaloPesa na VISA wazinduliwa

Mwezi Novemba mwaka jana zilitoka taarifa kuhusu ushirikiano kati ya VISA na Halopesa na hapa ni dhahiri shahiri suala hili linahusisha masuala ya miamala ya fedha kati ya pande mbili zinazohusika. Suala hilo sasa ni rasmi baada ya wahusika kusaini hati ya makubaliano. Watanzania wanaianza wiki ya Mei 20 2019 kwa tabasamu hasa kwa wale [...]


The post Ushirikiano kati ya HaloPesa na VISA wazinduliwa appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More