Usichokijua Kuhusu Kupendeza Kwa Zari ‘The Boss Lady’ - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Usichokijua Kuhusu Kupendeza Kwa Zari ‘The Boss Lady’

Mrembo na  mjasiriamali Zarinah Hassan Zari  ‘The Boss Lady’ kutoka nchini Uganda mwenye  makazi yake nchini Afrika ambaye amezijolea mashabiki wengi Africa Masharaiki kwa muonekano wake wakupendeza amefunguka kuwa yeye huvaa nguo zozote hata zile za Kariakoo ambazo nyingi ni feki.



Zari ametoa kauli hiyo alipoulizwa kwamba anavaa nguo za gharama za kiasi gani, ambapo amesema yeye huwa anavaa nguo yoyote, haijalishi ni ya gharama kiasi gani isipokuwa tu iwe inampendeza mwilini.

“Unajua mimi siwezi kukuambia kuwa ninavaa nguo za gharama flani ya juu, hapana, hata nguo za Kariakoo mimi navaa tu ilimradi ikikaa kwenye mwili wangu inanipendeza, si nguo tu hata nywele mimi navaa yoyote ile ili mradi nipo smati", amesema Zari ambaye alionekana kuwajibu watu waliokuwa wakidai kuwa anavaa nguo feki za Kichina ambazo zimejaa Kariakoo.

... Continue reading ->








Source: Mwanaharakati MzalendoRead More