Usishangae ndio imetokea! Alliance Girls yashinda mabao 17-0 - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Usishangae ndio imetokea! Alliance Girls yashinda mabao 17-0

Alliance Girls ya Jijini Mwanza imeicharaza Mapinduzi Queens ya Mkoani Njombe mabao 17-0 katika mchezo wa mwisho wa kukamilisha ratiba ya ligi kuu ya Wanawake na wamefanikiwa kushika nafasi ya pili wakiwa na alama 47.


Source: MwanaspotiRead More