USIYOFAHAMU KUHUSU AJALI YA HIACE NA CANTER BUKOBA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

USIYOFAHAMU KUHUSU AJALI YA HIACE NA CANTER BUKOBA

Anaandika Abdullatif Yunus – Kagera
Ni Tarehe 08, Februari, 2019 usiku vilio, simanzi na hofu vinatawala katika mtaa wa Hamugembe, Nyangoye Manispaa ya Bukoba Eneo maarufu sana kwa matukio ya ajali mbalimbali zilizogharimu maisha ya watu na wengine kufariki kabisa.
Usiku huu tena ikiwa yapata majira ya saa tatu usiku, unasikika mshindo mkubwa wa Ajali ukihusisha Magari mawili yaliyogongana uso kwa uso, magari hayo ni Roli dogo aina ya Canter,yenye namba za usajili T223 ATK mali ya Bwana Jibril, pamoja na Gari dogo la Abiria Daladala yenye namba za usajili T 869 CHT, inayofanya safari zake Kutoka Bukoba kwenda Mutukula. 
Kwa mujibu wa shuhuda wa ajali hiyo Bwana Abdul Itembwe anaeleza kuwa mara baada ya tukio hilo kutokea katikati ya mteremko wa Nyangoye, ambapo daladala ilikuwa ikipanda na Canter ikiteremka, hivyo gari hiyo aina ya canter kupata itilafu upande wa breki, na kupelekea kuigonga daladala na kuserereka nayo hadi kandoni mwa barabara yapata mita 150 kutoka barab... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More