USM Alger yaing'ang'ania Gor Mahia Kasarani - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

USM Alger yaing'ang'ania Gor Mahia Kasarani

Sare inaiweka Gor Mahia kwenye nafasi ya pili katika msimamo wa Kundi D huku USM Algiers wao wakiendelea kukalia usukani, Rayon Sports ya Rwanda ni ya tatu na Yanga ya Tanzania ikiburuza mkia.


Source: MwanaspotiRead More