Utabiri wa Lema haukufika kwa Millya? - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Utabiri wa Lema haukufika kwa Millya?

KATIKA siku za hivi karibuni, mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA), Gobless Lema, alijizolea umaarufu wa kutabiria wabunge wenzake, kuondoka chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Kibona Dickson … (endelea). Mtabiri huyu ni Mjumbe wa Kamati Kuu (CC) ya chama kinachoendelea kupata maumivu ya kuondokewa na wabunge. Mtabiri huyu wa twitter alitabiri juu ...


Source: MwanahalisiRead More