Utafiti uliofanywa na Chuo kikuu cha Srbonne Paris Cite, wataja vinywaji hivi vya sukari vinavyosababisha Saratani,fahamu zaidi - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Utafiti uliofanywa na Chuo kikuu cha Srbonne Paris Cite, wataja vinywaji hivi vya sukari vinavyosababisha Saratani,fahamu zaidi

Vinywaji vya sukari ikwemo maji ya matunda vinaweza kuongeza hatari ya saratani , kulingana na mwanasayansi wa Ufaransa. Uhusiano huo ulifichuliwa na utafiti uliochapishwa katika jarida la matibabu nchini Uingereza , uliwachunguza watu 100,000 kwa kipindi cha miaka mitano.Kwa mujibu wa BBC. Wanasayansi hao kutoka chuo kikuiu cha Srbonne Paris Cite wanadai kwamba ongezeko la viwango vya sukari katika damu huenda ndio sababu kuu.


Hatahaivyo utafiti huo haukupata ushahidi kamili na kwamba watafiti wametaka utafiti zaidi kufanywa.


Je ni nini kinachohesabika kama kinywaji cha sukari?

Watafiti wao walisema kwamba ni kinywaji kilicho na zaidi ya asilimia 5 ya sukari. Vinywaji hivyo vinashirikisha maji ya matunda ambayo hayajongezwa sukari,


Vinywaji visivyo na pombe, vinywaji vya kuongeza nguvu, chai na kahawa yenye sukari.


Kundi hilo pia lilichunguza vinywaji visivyo na kalori vinywaji vilivyo na sukari yake lakini hawakubaini uhusiano wowote na saratani.


Je hatari ya saratani ni ya kiwan... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More